Unatafuta fundi wa magari Mwanza au garage nzuri ya kuaminika? Rasha Garage (Rasha Automotive Works) inatoa mechanics na car repair kwa magari madogo, sedan, hatchback na SUV — kutoka injini na gearbox mpaka brake, suspension na computer diagnostics.
Uchunguzi na ukarabati wa injini — kupoteza nguvu, kupanda joto, kutetemeka.
Automatic na manual gearbox — gear kugoma au mshtuko wakati wa kubadilisha gear.
Gari kutikisika au kuvuta upande mmoja — ukaguzi wa shock absorbers.
Uchunguzi wa Check Engine light na fault codes kabla ya ukarabati.
Rasha Garage inahudumia magari madogo, sedan, hatchback na SUV / light vehicles.
Tuambie tatizo la gari lako au weka booking — tutakusaidia haraka.