INAPAKIA...
๐Ÿ“ž 0756 810 770  |  0677 810 771 ๐Ÿ“ฎ P.O Box 2800, Mwanza, Tanzania
๐Ÿš— Customer Portal
Suspension Repair Mwanza

Fundi Suspension Mwanza โ€” Rasha Garage

Gari linatikisika sana barabarani, linavuta upande mmoja, au linatoa sauti sehemu ya chini? Rasha Garage inafanya ukaguzi na ukarabati wa suspension kwa magari madogo na SUV.

Huduma Zetu za Suspension

Suspension mbaya haiathiri tu usalama, bali pia inaharibu matairi na vipuri vingine haraka. Tunashauri kufanya ukaguzi mara tu unapohisi gari halisikii vizuri barabarani.

๐Ÿ“… Weka Booking ๐Ÿ’ฌ WhatsApp Sasa

Maswali Kuhusu Suspension Repair

Gari langu linatikisika sana, ni tatizo la suspension?
Mara nyingi ndiyo โ€” inaweza kuwa shock absorbers zimechoka. Tuletee gari lako Rasha Garage Mwanza tufanye ukaguzi.
Mnahudumia SUV pia?
Ndiyo, tunahudumia magari madogo, sedan, hatchback na SUV.

Gari Lako Lina Tatizo?

Tuambie tatizo la gari lako au weka booking โ€” tutakusaidia haraka.

๐Ÿ’ฌ
๐Ÿ“žSimu ๐Ÿ’ฌWhatsApp ๐Ÿ“…Booking