Breki zinatoa sauti, pedal inalegea, au gari halishiki vizuri unapokanyaga breki? Rasha Garage inafanya ukaguzi na ukarabati kamili wa mfumo wa breki kwa magari madogo na SUV.
Breki ni sehemu muhimu ya usalama wa gari lako. Tunapendekeza ukaguzi wa mara kwa mara, hasa kama unasikia sauti isiyo ya kawaida au unahisi pedal inalegea zaidi kuliko kawaida.
Tuambie tatizo la gari lako au weka booking โ tutakusaidia haraka.