Gearbox inagoma kubadilisha gear, inatoa mshtuko, au automatic gearbox inashindwa kushift vizuri? Rasha Garage inafanya uchunguzi na ukarabati wa gearbox kwa magari madogo na SUV.
Tunafanya uchunguzi wa gearbox za automatic na manual kwa magari madogo, sedan, hatchback na SUV. Kabla ya kufanya ukarabati wowote, tunakueleza chanzo cha tatizo na gharama zinazohusika.
Tuambie tatizo la gari lako au weka booking โ tutakusaidia haraka.