Rasha Garage inafanya uchunguzi na ukarabati wa injini za magari madogo, sedan, hatchback na SUV โ kutoka kupoteza nguvu mpaka kupanda joto na matumizi makubwa ya mafuta.
Tunaanza na uchunguzi (diagnosis) kubaini chanzo halisi cha tatizo la injini kabla ya kufanya ukarabati โ ikiwa ni lazima tunatumia computer diagnostics kuongeza usahihi. Baada ya ukarabati, injini inajaribiwa (test) kabla ya gari kurudishwa kwako.
Tuambie tatizo la gari lako au weka booking โ tutakusaidia haraka.