INAPAKIA...
๐Ÿ“ž 0756 810 770  |  0677 810 771 ๐Ÿ“ฎ P.O Box 2800, Mwanza, Tanzania
๐Ÿš— Customer Portal
Car Diagnostics Mwanza

Computer Diagnostics Mwanza โ€” Rasha Garage

Taa ya Check Engine imewaka au gari lina hitilafu isiyoeleweka? Rasha Garage inatumia vifaa vya computer diagnostics kubaini chanzo halisi cha tatizo kabla ya kufanya ukarabati wowote.

Huduma Zetu za Diagnostics

Computer diagnostics inatusaidia kubaini chanzo cha tatizo kwa usahihi zaidi kabla ya kufanya ukarabati โ€” hii inaokoa muda na gharama kwa kuepuka kubadilisha vipuri visivyohusika na tatizo halisi.

๐Ÿ“… Weka Booking ๐Ÿ’ฌ WhatsApp Sasa

Maswali Kuhusu Computer Diagnostics

Taa ya Check Engine imewaka, ni hatari?
Inaweza kuwa tatizo dogo au kubwa โ€” njia pekee ya kujua ni kufanya computer scan. Tuletee gari lako Rasha Garage Mwanza tufanye uchunguzi.
Je, mnafanya key programming?
Ndiyo, tunafanya key programming na immobiliser coding kama sehemu ya huduma zetu za diagnostics na ECU.

Gari Lako Lina Tatizo?

Tuambie tatizo la gari lako au weka booking โ€” tutakusaidia haraka.

๐Ÿ’ฌ
๐Ÿ“žSimu ๐Ÿ’ฌWhatsApp ๐Ÿ“…Booking