Taa, betri, alarm au ufunguo wa gari una hitilafu? Rasha Garage inashughulikia mifumo yote ya umeme ya magari madogo na SUV โ wiring, battery, sensors na key/immobiliser programming.
Mfumo wa umeme wa gari mara nyingi ndio chanzo cha matatizo yasiyoeleweka โ kama gari kushindwa kuwaka, taa kutofanya kazi, au alarm kutokea bila sababu. Tunachunguza mfumo mzima kabla ya kufanya ukarabati.
Tuambie tatizo la gari lako au weka booking โ tutakusaidia haraka.