Vipuri, mafuta ya injini, filters na bidhaa nyingine za matengenezo ya gari zinapatikana Mwanza kupitia Rasha Garage. Kama hujapata unachotafuta, tutumie ombi la spare part.
Jaza fomu hapa chini, tutatuma ombi lako moja kwa moja WhatsApp.
Tuambie tatizo la gari lako au weka booking — tutakusaidia haraka.